Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM WAPUNGUA KWA MSAADA WA SHIRIKA LA EfG.

  Msaidizi wa kisheria katika soko la Tabata Muslim, Aisha Juma akizungumza wakati akifungua tamasha la kuongezea uelewa kuhusu kupinga...


 Msaidizi wa kisheria katika soko la Tabata Muslim, Aisha Juma akizungumza wakati akifungua tamasha la kuongezea uelewa kuhusu kupinga ukatili wa kijinsia masokoni lililofanyika mwishoni mwa wiki Soko la Tabata Muslim jijidi Dar es Salaam ambapo ilielezwa kupungua kwa vitendo vya ukatili katika soko hilo. Upunguaji wa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia umetokana na elimu iliyotolewa na wasaidizi hao wa kisheria kwa msaada wa Shirika la Equality for Growth (EfG)
 Msaidizi  wa kisheria katika soko hilo, Irene Daniel akielezea kupungua kwa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo kutokana na msaada wa wasaidizi hao wa kisheria masokoni waliowezeshwa na Shirika la EfG.
 Msaidi wa kisheria katika soko hilo akichangia jambo.
 Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la EfG, Mr Shabani akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ukatili wa kijinsia masokoni.
 Wasanii wa Kundi la Machozi lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam wakitoa burudani kwenye tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki viwanja vya Soko la Tabata Muslim.
 Burudani zikiendelea katika viwanja hivyo.
 Mpiga picha wa EfG akipiga  mzigo katika tamasha hilo.
 Watoto nao walikuwepo kushuhudia burudani za tamasha hilo.
 Katibu wa Soko hilo, John Nombo (kushoto), akichangia jambo kwenye tamasha hilo. Kulia ni Mratibu wa Tamsha hilo,Bibi  Grace kutoka Shirika la EfG.
 Baunsa wa kujitolea wa Tamasha hilo naye alishindwa kuvumilia midundo ya ngoma iliyokuwa ikitolewa na kundi la Machozi ambapo alijikuta akiingia uwanjani naye kufanya vitu vyake kama anavyoonekana.
 Wananchi wakifuatilia tamasha hilo.
 Mkazi wa Tabata, Mwahija Rajab akichangia jambo kuhusu ukatili wa kijinsia.
 Burudani kutoka kundi la machozi zikiendelea.
 Taswira ya jukwaa kuu katika tamasha hilo.
Wageni waalikwa na wasaidizi wa kisheria katika soko hilo na viongozi wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwa katika picha ya pamoja.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM WAPUNGUA KWA MSAADA WA SHIRIKA LA EfG.
UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM WAPUNGUA KWA MSAADA WA SHIRIKA LA EfG.
https://1.bp.blogspot.com/-MMszxakvL5w/Vws8fBv3pRI/AAAAAAAAV90/Ktt3DJyM4TMdoLNaXBf44KzE5k3aAqVsg/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-MMszxakvL5w/Vws8fBv3pRI/AAAAAAAAV90/Ktt3DJyM4TMdoLNaXBf44KzE5k3aAqVsg/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/ukatili-wa-kijinsia-soko-la-tabata.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/ukatili-wa-kijinsia-soko-la-tabata.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago