Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO.

   Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha kwanza cha...

   Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha kwanza cha  mkutano wa tatu wa Bunge   Aprili 19, 2016.
 Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge  kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
 Ritta Kabati akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
   Spika wa Bunge Job Ndugai   (kulia) akimwapisha  Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  Aprili 19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu,  Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge  Mjini Dodoma Aprili 10, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Waziri Kiongozi  wa Zanzibar  Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Spika wa Bunge, Job Ndugai  (kushoto)  wakizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO.
TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO.
https://2.bp.blogspot.com/-I8Lg0r781N0/VxZGNz--ddI/AAAAAAADhIE/049NXcEt6iYYHE0WdfTiFRPYP08Z-1eBwCLcB/s640/IMGS1722.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-I8Lg0r781N0/VxZGNz--ddI/AAAAAAADhIE/049NXcEt6iYYHE0WdfTiFRPYP08Z-1eBwCLcB/s72-c/IMGS1722.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/tazama-picha-za-matukio-mbalimbali-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/tazama-picha-za-matukio-mbalimbali-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago