Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SHIRIKA LA EfG LAFANYA TAMASHA LA KUPINGA UKATILI WA JINSIA AWAMU YA PILI KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

  Ofisa Ufutiliaji na Tathmini wa Shirika la Eguality for Growth (EfG), Shabani Lulimbeye, akizungumza na wadau mbalimbali kuhusu viten... Ofisa Ufutiliaji na Tathmini wa Shirika la Eguality for Growth (EfG), Shabani Lulimbeye, akizungumza na wadau mbalimbali kuhusu vitendendo vya ukatili wa kijinsia katika Tamasha lililofanyika leo asubuhi viwanja vya Soko la Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam.
 Mfanyabiashara katika soko hilo, Suleiman Azizi akichangia jambo kuhusu ukatili wa kijinsia katika soko hilo.
 Kikundi cha Sanaa cha Machozi cha Temeke jijini Dar es Salaam kikihamasisha wananchi kuacha vitendo vya ukatili wa kijinsia masokoni katika Tamasha hilo.
 Wafanyabiashara ndogo ndogo katika soko hilo wakifuatilia tamasha hilo.
 Wasaidizi wa kisheria katika soko hilo wakiwa kwenye tamasha hilo. Kulia ni Zainab Namajojo na Mechi Mtindi.
 Wasanii wa kundi la Machozi wakila wakati wakiigiza igizo la kupinga ukatili wa kijinsia.
 Raia wa kigeni ambao wanafanyakazi ya kujitolea katika Shirika la EfG wakiwa kwenye tamasha hilo.
 Taswira katika tamasha hilo.
Wasanii wa Kundi la Machozi wakionesha igizo la ukatili wa jinsia masokoni.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SHIRIKA LA EfG LAFANYA TAMASHA LA KUPINGA UKATILI WA JINSIA AWAMU YA PILI KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
SHIRIKA LA EfG LAFANYA TAMASHA LA KUPINGA UKATILI WA JINSIA AWAMU YA PILI KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://3.bp.blogspot.com/-vFo541NrLos/VwJrejGYUII/AAAAAAAAV2A/5lW5TLaUYIMJkGN8slpZCJyarA9MiXuzw/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-vFo541NrLos/VwJrejGYUII/AAAAAAAAV2A/5lW5TLaUYIMJkGN8slpZCJyarA9MiXuzw/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/shirika-la-efg-lafanya-tamasha-la.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/shirika-la-efg-lafanya-tamasha-la.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago