Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17.

  Waziri wa Fedha na Mpiango Dkt Philip Mipango akiwasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2016/17 wakati wa ...


 Waziri wa Fedha na Mpiango Dkt Philip Mipango akiwasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2016/17 wakati wa mkutano wa Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza kabla ya Waziri wa Fedha na Mipango hajawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/2017 wakati wa mkutano wa Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim akiongoza kikao cha Wabunge wote wakati Serikali ilipowasilisha mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/17. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na kushoto ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson.Picha na Ofisi ya Bunge

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17.
Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17.
https://2.bp.blogspot.com/-HlVqoE0ZqFU/VwUv08tfFuI/AAAAAAADgwE/516GXIqr1BQN5G3zBjr9ZFvIyJIFP1TUA/s640/3.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-HlVqoE0ZqFU/VwUv08tfFuI/AAAAAAADgwE/516GXIqr1BQN5G3zBjr9ZFvIyJIFP1TUA/s72-c/3.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/serikali-yawasilisha-mapendekezo-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/serikali-yawasilisha-mapendekezo-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago