Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SENDEKA: LOWASSA ANADANGANYA WATANZANIA KUTAFUTA MASLAHI KISIASA

Ole Sendeka akizungumza leo, Ofisi Ndogo ya makao makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo ---  NA BASHIR NKOROM...


Ole Sendeka akizungumza leo, Ofisi Ndogo ya makao makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo
---

 NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, Rais Dk. John Magufuli hatafuti umaarufu, isipokuwa anachapa kazi ili kuwaetea maendeleo Watanzania.

Hayo yamesemwa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa tuhuma za ufuisadi, Edward Lowassa, kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa ikiwemo hali ya kisiasa nchini, kuachisha kazi watumishi wenye tuhuma mbalimbali na kile alichokiita tatizo la mfumo wa nchini, aliyosema katika mazungumzo yake na wanazuoni kutoka vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi, Aprili 7, 2016.

"Alichokifanya Ndugu Lowassa ni kutaka kuwaaminisha Watanzania masuala yasiyo sahihi kwa maslahi ya kisiasa, kwani ukweli ni kwamba; Mosi Rais John Magufuli hatafuti umaarufu, badala yake yeye na Serikali yake wanachapa kazi ili kuwaletea maendeleo Watanzania kwa jumla" alisema Sendeka na kuoneza;

"Pili, kuhusu suala la mfumo, Tanzania haina tatizo la kimfumo, kwani iliyopo ambayo iliwekwa na waasisi wa taifa hilo, Hayati Mwalimu Nyerere na Abeid Aman Karume ni imara na imekuwa ikiboreshwa kulingana na majitaji". KUSOMA TAARIFA RASMI > BOFYA HAPA --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SENDEKA: LOWASSA ANADANGANYA WATANZANIA KUTAFUTA MASLAHI KISIASA
SENDEKA: LOWASSA ANADANGANYA WATANZANIA KUTAFUTA MASLAHI KISIASA
https://1.bp.blogspot.com/-OIJgXeRytMk/VweqAjCH9FI/AAAAAAABET0/2op-V7HCSYAF5A6D9aySrtm8cKrO7fPeA/s640/5T7A0164.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-OIJgXeRytMk/VweqAjCH9FI/AAAAAAABET0/2op-V7HCSYAF5A6D9aySrtm8cKrO7fPeA/s72-c/5T7A0164.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/sendeka-lowassa-anadanganya-watanzania.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/sendeka-lowassa-anadanganya-watanzania.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago