Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA NA KATIBU TAWALA WA MKOA KUANZIA LEO.

 Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela -- Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli amete...

 Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela
--
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo.
 
Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutungaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini kuwepo kwa wafanyakazi hewa 45 katika awamu ya kwanza na awamu ya pili ya uchunguzi bado inaendelea.

Akiongea Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akipokea hundi ya shilingi bilioni sita zilizotolewa na Ofisi ya Bunge baada ya kubana matumizi kwa ajili ya kununulia madawati Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa na hali hiyo na kuagiza Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala wa Mkoa kuondolewa ofisini mara moja.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA NA KATIBU TAWALA WA MKOA KUANZIA LEO.
RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA NA KATIBU TAWALA WA MKOA KUANZIA LEO.
https://3.bp.blogspot.com/-8MXmTPBqsiA/VwuLWh6GTiI/AAAAAAADg50/cS_3Ln3IcoAj7-cM7steMUbYYSwr7xZ4g/s640/anne%2Bkilango%2Bakichangia.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-8MXmTPBqsiA/VwuLWh6GTiI/AAAAAAADg50/cS_3Ln3IcoAj7-cM7steMUbYYSwr7xZ4g/s72-c/anne%2Bkilango%2Bakichangia.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkuu-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa-mkuu-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago