Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWILI WA MZEE PIUS MKUNJA WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI MKOANI MOROGORO.

Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi y...

Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.

Mzee Mkunja alifariki dunia juzi April 25,2016 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza akikokuwa akipata matibabu. Alizaliwa Mwaka 1926 hivyo amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Kifo chake kimetokana na tatizo la vidonda vya tumbo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu enzi za uhai wake.

Mwili wake unasafirishwa hii leo April 27,2016 kuelekea nyumbani kwake Mpanga, Kilombero Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi. 
Tunatoa natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, akiwemo mtoto wa Marehemu, Bi.Idda Adam.
Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.
Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.

Waombolezaji Jijini Mwanza wakiuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro katika ibada iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.

Mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro ukiagwa Jijini Mwanza.
Mbele kushoto ni Mtoto wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, akiwa pamoja na mmewe katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu  Jijini Mwanza.
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, katika ibada iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, katika ibada iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.

Baada ya ibada, Mwili wa marehemu Mzee Mkunja ukipelekwa nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya kuusafirisha kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Baada ya ibada, Mwili wa marehemu Mzee Mkunja ukiwasili nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya kuusafirisha kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Waombolezaji wakiwa nyumba
Waombolezaji wakiwa nyumba
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakipata chakula baada ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakipata chakula baada ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWILI WA MZEE PIUS MKUNJA WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI MKOANI MOROGORO.
MWILI WA MZEE PIUS MKUNJA WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI MKOANI MOROGORO.
https://2.bp.blogspot.com/-rbQEKGWMma8/Vx-vCtS6gEI/AAAAAAAAK4Q/s56gPiIfghcK6YU2XtYinRaW0xV6EIu2gCLcB/s640/1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-rbQEKGWMma8/Vx-vCtS6gEI/AAAAAAAAK4Q/s56gPiIfghcK6YU2XtYinRaW0xV6EIu2gCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/mwili-wa-mzee-pius-mkunja-waagwa-jijini.html
http://www.hakingowi.com/

true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago