Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mwakilishi Maalum wa AU kuhusu mgogoro wa Libya na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Italy Dk. Mario Giro, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam

 Mwakilishi Maalum wa AU kuhusu mgogoro wa Libya Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italy Dk. Mario Giro...

 Mwakilishi Maalum wa AU kuhusu mgogoro wa Libya Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italy Dk. Mario Giro leo
---
 MWANDISHI MAALUM
Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika (AU) katika mgogoro wa Libya, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete leo amekutana na Naibu  Waziri wa Mambo ya nje wa Italy Dk. Mario Giro, katika Ofisi Ndogo ya  Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo maalum.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazungumzo, Msaidizi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Suleyman Mwenda alisema, Dk. Kikwete amekuwa na mahusiano ya kirafiki ya muda mrefu na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italy Dk. Mario Giro, Naibu Waziri huyo amefanya ziara hiyo ikiwa ni sehemu ya kumjulia hali kama rafiki yake wa muda mrefu.

"Pamoja na kuja kumsalimia kama rafiki wa siku nyingi, lakini lengo hasa la Naibu waziri huyo ni kutaka maelezo juu ya suala la Libya' alisema Mwensa na kuongeza  "Kama mnavyofahamu kuwa Dk. Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika (AU) kuwa mwakilishi katika kutafuta suluhu ya mgogoro wa Libya.

Alisema, Italy inalichuulia umuhimu wa kipekee kutokana na kwamba ni nchi jirani ya Libya hivyo inayo maslahi mapana na ya karibu juu ya suala la amani ya Libya hivyo Dk. Giro ameiwakilisha nchi yake katika kujua hatua ya usuluhishi na  hatma ya mgogoro wa Libya.

Katika ziara hiyo, Naibu Waziri huyo aliambatana na Balozi wa Italy hapa nchini, Luigi Scotto pamoja na Dk. Raffaele De Lutio, Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa wa Italy.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mwakilishi Maalum wa AU kuhusu mgogoro wa Libya na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Italy Dk. Mario Giro, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Maalum wa AU kuhusu mgogoro wa Libya na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Italy Dk. Mario Giro, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
https://2.bp.blogspot.com/-j0H-8zh72rI/VwUxkV68PqI/AAAAAAADgwY/QAyOgGW-SMMlXl8DH23qEU-YBM7Pod51w/s640/JKNA%2BITALY.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-j0H-8zh72rI/VwUxkV68PqI/AAAAAAADgwY/QAyOgGW-SMMlXl8DH23qEU-YBM7Pod51w/s72-c/JKNA%2BITALY.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/mwakilishi-maalum-wa-au-kuhusu-mgogoro.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/mwakilishi-maalum-wa-au-kuhusu-mgogoro.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago