Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mbunge wa Mkuranga Mkoa wa Pwani akabidhi vifaa vya michezo kwa shule za Sekondari jimboni

Na David John, Mkuranga. MBUNGE wa Jumbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega amekabidhi jezi seti20 na mipira 20 zenye thamani ya sh.milioni...


Na David John, Mkuranga.

MBUNGE wa Jumbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega amekabidhi jezi seti20 na mipira 20 zenye thamani ya sh.milioni 4katika shule zote za Sekondari zilizopo katika Jimboni hapa.

Akikabidhi jezi hizo wilayani hapa jana katika hafla fupi iliyowakutanisha walimu wakuu,wanamichezo,watendaji wa halmashauri ,pamoja na Ofisa Elimu ,Ulega amesema ameamua kutoa vifaa hivyo Kwa lengo la kusaidia Serikali katika juhudi za kuinua michezo lakini pia nisehemu ya Kazi zake kama Mbunge.Amesema kuwa michezo licha ya kujenga utimamu wa mwili lakini pia ni ajira huku akitoa mfano Kwa Mbwana Samatta anavyofanikiwa na leo anakipiga Ulaya.

"Ndugu zangu walimu na manahodha wa timu zote Kutoka shule 20 za sekondari zilizoponda ndani ya Jumbo langu la Mkuranga nimetoa vifaa hivi ili muweze kushiriki vyema katika michezo ya shule za Sekondari UMISETA nakutuletea mafanikio,"alisem Ulega.

Pia amesema kuwa anatambua kuwa kuna changamoto za kutosha katika michezo hususani vifaa vya michezo Kwa kutambua hilo ameamua kutoa vifaa hivyo huku akiwataka wanafunzi na walimu hao kusimamia vyema.

Aidha Mbunge Ulega amehaidi kutoa ushirikiano wa dhati Kwa walimu na viongozi mbalimbali wa halmashauri hiyo ili Kwa pamoja kuharakisha maendeleo jimboni hapa ikiwamo michezo.Pia amewaambia viongozi hao kujenga mashirikiano ya Katibu na yeye kama mwakilishi wao yupo tayari Kwa wakati wowote kutumika na kusikiliza maoni yao.

Kwaupande wake Ofisa Elimu wa Halmashauri Kwa upande wa shule za Sekondari Benjamini Majoya akizungumza katika hafla hiyo alisema kuwa Mbunge Ulega amefanya jambo ambalo halijawahi kufanywa Kwa viongozi wengine waliotangulia.Amesema kuwa watamuunga mkono Mbunge huyo Kwa kuhakikisha wanafanya vizuri katika nyanja ya Elimu na michezo Kwa ujumla.

"Kwanza tunashukuru Kwa vifaa hivi kwani vimekuja katika wakati muhimu ambapo tunakwenda katika mashindano ya UMISETA na Kwa vifaa hivi ushindi upo,"amesema Majoya.Pia ameongeza kuwa hakuna ubishi kwamba michezo ni ajira hivyo lazima watahakikisha vijana hao wanafanya vizuri katika michezo na taaluma pia.COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mbunge wa Mkuranga Mkoa wa Pwani akabidhi vifaa vya michezo kwa shule za Sekondari jimboni
Mbunge wa Mkuranga Mkoa wa Pwani akabidhi vifaa vya michezo kwa shule za Sekondari jimboni
https://2.bp.blogspot.com/-6FXMRG_S3Bo/VxRs7YxfyTI/AAAAAAADJC8/y9DC8C9xtlIaPkfPeGIr0vcUPfx_xZxUgCLcB/s640/IMG-20160417-WA0031.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-6FXMRG_S3Bo/VxRs7YxfyTI/AAAAAAADJC8/y9DC8C9xtlIaPkfPeGIr0vcUPfx_xZxUgCLcB/s72-c/IMG-20160417-WA0031.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/mbunge-wa-mkuranga-mkoa-wa-pwani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/mbunge-wa-mkuranga-mkoa-wa-pwani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago