Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

LANCET TANZANIA LIMITED YAFUNGUA MAABARA YA KISASA MJINI MOSHI.

Maabara ya kisasa ya Lancet  iliyofunguliwa mjini Moshi jirani na YMCA kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ikiwemo ma...

Maabara ya kisasa ya Lancet  iliyofunguliwa mjini Moshi jirani na YMCA kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya Saratani.
Mtafiti wa Magonjwa,Dkt Hemed Kalebu akimuonesha Kaimu mganga mkuu wa mkoa ,Dkt Japhet Boniface ,maeneo mbalimbali alipotembelea maabara hiyo iliyofunguliwa mjini Moshi.
Dkt Kalebu akileza jambo kwa kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Dkt Josephat Boniface katika eneo ambalo hutumika kumpokea mgonjwa anayefika kwa ajili ya kufanyiwa vipimo.
Dkt Kalebu akionesha sehemu ya vifaa mbalimbali katika maabara hiyo ambavyo vimekuwa vikitumika kwa ajili ya kufanya vipimo.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vilivyoko katika maabara hiyo ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi itakayotumika kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ambayo baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakivifuata nje ya nchi.
Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Dkt Josephat Boniface akiwa katika picha ya pamoja na Dkt Hemed Kalebu pamoja na watumishi wengine wa maabara hiyo .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: LANCET TANZANIA LIMITED YAFUNGUA MAABARA YA KISASA MJINI MOSHI.
LANCET TANZANIA LIMITED YAFUNGUA MAABARA YA KISASA MJINI MOSHI.
https://1.bp.blogspot.com/-KoLpSY74NjQ/Vwx8PuUjfnI/AAAAAAAAbu8/fShVWp7ks_0lswNin9Yp5oUiQVwcnSBDwCLcB/s640/IMG_9025%2B%25281280x853%2529%2B%25282%2529.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-KoLpSY74NjQ/Vwx8PuUjfnI/AAAAAAAAbu8/fShVWp7ks_0lswNin9Yp5oUiQVwcnSBDwCLcB/s72-c/IMG_9025%2B%25281280x853%2529%2B%25282%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/lancet-tanzania-limited-yafungua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/lancet-tanzania-limited-yafungua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago