Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhif...


  1. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa ziara fupi hifadhini hapo.
  1. Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo akitoa maelezo mafupi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kabla ya kuanza kwa ziara fupi katika Hifadhi ya Arusha.
  1. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ndani ya basi dogo wakiangalia wanyama aina ya nyati wanaopatikana katika Hifadhi ya Arusha.
  1. Twiga watatu wakionesha mbwembwe zao mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.

  1. Waheshimiwa Joseph Kasheku ‘Msukuma’ (kulia) na Shaban Shekilindi (Lushoto) wakiwa na fuvu la mnyama nyati walilolikuta hifadhini hapo na kupiga nalo picha na kisha kuliacha hapo hapo.

  1. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika picha ya pamoja mbele ya Ziwa Momela katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha.
  1. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani (kushoto),Mhe. Joseph Kasheku ‘Msukuma’, Mhe. Kemilembe Julius na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Ibrahim Mussa katika picha ya pamoja.

  1. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipowasili Hifadhi ya Taifa ya Arusha.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
https://2.bp.blogspot.com/-PxqdSTFvgsw/VwO1PbZe10I/AAAAAAAAbss/renbq5utUtQflxYqmIicnI56zCLUzDA4Q/s640/1%2B%25281%2529.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-PxqdSTFvgsw/VwO1PbZe10I/AAAAAAAAbss/renbq5utUtQflxYqmIicnI56zCLUzDA4Q/s72-c/1%2B%25281%2529.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya-ardhi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya-ardhi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago