Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA YAKUTANA NA WAZIRI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA

 Mwenyekiti wa  Kamati ya bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira Dkt.Dalaly  P.Kafumu (katikati) akifafanua Jambo kwa wajumbe wa Kamati...

 Mwenyekiti wa  Kamati ya bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira Dkt.Dalaly  P.Kafumu (katikati) akifafanua Jambo kwa wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa kikao cha  Kujadili Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira ,kulia kwake ni Katibu wa kamati hiyo Ndg.Godfrey Magova na kushoto ni Bi. Zainabu Mkamba .
 Waziri wa nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.January  Makamba akielezea jambo  kwa wajumbe wa Kamati ya bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira wakati Wakijadili bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira kwa mwaka wa fedha 2016/ 2017. 
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira Wakimsikiliza kwa Makini Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh.Dkt.  Dalaly P. Kafumu walipokutana Kujadili taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira kwa Mwaka wa fedha 2016/2017.   

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA YAKUTANA NA WAZIRI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA
KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA YAKUTANA NA WAZIRI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA
https://3.bp.blogspot.com/-X-CxAaJu6RM/VwzAP0VoW2I/AAAAAAADg-g/c_tBlPkUny0zPrMau1hGCGF__WNv5_JsACLcB/s640/716.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-X-CxAaJu6RM/VwzAP0VoW2I/AAAAAAADg-g/c_tBlPkUny0zPrMau1hGCGF__WNv5_JsACLcB/s72-c/716.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/kamati-ya-bunge-ya-viwanda-yakutana-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/kamati-ya-bunge-ya-viwanda-yakutana-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago