Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KAJUNASON ASHEREKEA SIKU YAKE ZA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS CHILDREN'S VILLAGE TANZANIA

 Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna (mwenye shati nyeupe) akimkabidhi mwakilishi wa kituo cha SOS Children's Village... Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna (mwenye shati nyeupe) akimkabidhi mwakilishi wa kituo cha SOS Children's Village Tanzania Bi. Sherry Mavura (wa kwanza kulia) msaada wa vitu mbali mbali ikiwemo Sabuni, Unga, Mchele, Mafuta, miswaki, dawa za meno kwa ajili ya kuwasaidia kuendesha kituo hicho.
"Leo mchana Aprili 10, 2016 nimesherekea siku yangu ya kuzaliwa na kutimiza miaka 10 ya Uandishi wa Habari na watoto Yatima wa kituo cha SOS Children's Village Tanzania kilichopo Karibu na kituo cha mabasi cha mawasiliano (SIMU 2000) jijini Dar kwa kula nao chakula, kucheza nao ikiwa ni pamoja na kuwapa msaada wa vitu mbali mbali. Nawashukuru wale wote walioungana na mimi. Mungu awabariki sana" alisema Kajuna.
 Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna akiwagawia juisi watoto yatima wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa kwenye  kituo cha kulelea  watoto yatima cha kituo cha SOS Children's Village Tanzania.
Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna pamoja na mwenyekiti wa Tanzania Blogger Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari Bw. Joachimu Mushi wakiwa kwenye pozi na watoto. Mwenyekiti wa TBN ni mmoja ya wageni waalikwa waliosindikiza.
Cathbert Angelo Kajuna kiimbiwa wimbo na familia yake pamoja na baadhi ya watoto yatima wakati wa ukataji keki aliyokula na watoto hao katika kituo cha ha SOS Children's Village Tanzania kilichopo Karibu na kituo cha mabasi cha mawasiliano (SIMU 2000) jijini Dar.
Cathbert Angelo Kajuna akiwalisha baadhi ya watoto yatima siku yake ya kuzaliwa kwenye  kituo cha SOS Children's Village Tanzania kilichopo Karibu na kituo cha mabasi cha mawasiliano (SIMU 2000) jijini Dar
Cathbert Angelo Kajuna akimlisha keki rafiki yake Imani Ntila.
Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna akimlisha keki mwenyekiti wa Tanzania Blogger Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari Bw. Joachimu Mushi.
Cathbert Angelo Kajuna akimlisha keki mwakilishi wa kituo cha SOS Children's Village Tanzania Bi. Sherry Mavura.
Watoto wakipewa zawadi.
Picha ya pamoja.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KAJUNASON ASHEREKEA SIKU YAKE ZA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS CHILDREN'S VILLAGE TANZANIA
KAJUNASON ASHEREKEA SIKU YAKE ZA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS CHILDREN'S VILLAGE TANZANIA
https://3.bp.blogspot.com/-NFDzI1-iFPo/VwpmmdEIELI/AAAAAAABhiM/zLhP5293e7U0w7i85u-kHNqoIl6OipKzw/s640/DSC_0167.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-NFDzI1-iFPo/VwpmmdEIELI/AAAAAAABhiM/zLhP5293e7U0w7i85u-kHNqoIl6OipKzw/s72-c/DSC_0167.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/kajunason-asherekea-siku-yake-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/kajunason-asherekea-siku-yake-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago