Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

ZIARA YA UVCCM KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili...


 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili kuzungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala. Kushoto ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha Huruma na wapili ni Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga. 
  Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini. 
  Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakiwa katika mkutano wa ndani na Asenga, uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala 
  Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakifuatilia kwa makini katika mkutano  huo wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala
  Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini.
 Katibu wa UVCCM wilaya ya Ilala na Mjumbe wa Baraza la UVCCM mkoa wa Dar es Salaam,, Muhsin Zikatim akifanya utambulisho kwa wageni
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akizungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo zaidi na zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akifafanua jambo alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo kwa msisitizo mkubwa zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
 Vijana wakimsikiliza Asenga kwenye mkutano huo
 Vijana wakimsikiliza Asenga kwenye mkutano huo wa ndani
 Vijana wa UVCCM wakimsikiliza asenga katika mkutano huo uliojaa hamasa

 Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha akizungumza kwenye mkutano huo
  Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga wakinukuu hoja za vijana kwenye mkutano huo
 Kijana akitoa dukuduku lake, ikiwemo namna ya kushiriki kwenye mitandao ya kijamii huku vijana mbalimbali wakikabiliwa na ukosefu wa fedha za kununua vocha za muda wa maongezi kwa ajili ya kusaidia CCM wakati wa kuchangia mada mbalimbali kwenye mitandao
 Vjana wa CCM wilaya ya Kinondoni wakimkaribisha,  Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga alipowasili katika ukumbi wa Lango la Jiji Magomeni Dar es Salaam
 Katibu wa Uhamasishaji wa UVCCM wilaya ya KinondoniOmari Mpeki akihamasisha wakati wa kumpokea ukumbini Asenga
 Asenga na ujumbe wake baada ya kuwasili ukumbini
 Vijana wa UVCCM Kinondoni wakiwa ukumbni
 Katibu wa UVCCM wilaya ya Kinondoni Pius Pukapuka akimkaribisha Asenga kuzungumza na Vijana
 Vijana wakiwa ukumbini
 Vijana wakiwa ukumbini
 Katibu wa CCM wilaya ya Kinondoni akimkaribsha Asenga
 Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sinza, Lusinga Mohammed akimpatia zawadi maalum, Asenga wakati wa mkutano wa ndani uliofanyika Lango la Jiji Magomnei
 Asenga akipokea zawadi hiyo ya hati maalum ya shukrani
 Pukapuka akizungumza
 Asenga akizungumza na Vijana wa UVCCM Kinondoni
 Katibu wa CCM Kinodoni akizungumza
Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sinza  Lusinga Mohamed akifunga kikao
Vijana wa CCM wilaya ya Kinondoni akimuaga Asenga wakati akiondoka baada ya mkutano huo wa ndani. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: ZIARA YA UVCCM KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA DAR ES SALAAM
ZIARA YA UVCCM KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA DAR ES SALAAM
https://2.bp.blogspot.com/-NP0AUY0gfhQ/VuUSucSkjWI/AAAAAAABA7E/l8SiO_2z-Ag5biy0HUnTnoRcNDUL7EDig/s640/DSC_0815.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-NP0AUY0gfhQ/VuUSucSkjWI/AAAAAAABA7E/l8SiO_2z-Ag5biy0HUnTnoRcNDUL7EDig/s72-c/DSC_0815.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/ziara-ya-uvccm-katika-wilaya-tatu-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/ziara-ya-uvccm-katika-wilaya-tatu-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago