Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZA VIKAO VYA MAPITIO YA RASIMU YA BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MWAKA 2016/17

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza katika kikao cha Mapitio ya Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 kwa Jeshi ...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza katika kikao cha Mapitio ya Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 kwa Jeshi la Polisi katika Wizara yake kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo na kuhudhuriwa na Viongozi Wakuu wa Jeshi hilo pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akifuatiwa na Naibu IGP, Abdulrahman Kaniki. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, wa Wizara hiyo, Haji Janabi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake katika kikao cha Mapitio ya Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 kwa Jeshi la Polisi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kulia) alipokuwa anamfafanulia jambo katika kikao cha kupitia  Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2016/17 ya Jeshi lake. Kikao hicho kilihudhuriwa na Viongozi Wakuu wa Jeshi hilo pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara hiyo kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZA VIKAO VYA MAPITIO YA RASIMU YA BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MWAKA 2016/17
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZA VIKAO VYA MAPITIO YA RASIMU YA BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MWAKA 2016/17
https://2.bp.blogspot.com/-FfLdA0EZvUI/Vvv86skoRxI/AAAAAAADghU/faa_0fvvFQweVTXsabkYGeb-ky_mQN3Jw/s640/921.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-FfLdA0EZvUI/Vvv86skoRxI/AAAAAAADghU/faa_0fvvFQweVTXsabkYGeb-ky_mQN3Jw/s72-c/921.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/wizara-ya-mambo-ya-ndani-ya-nchi-yaanza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/wizara-ya-mambo-ya-ndani-ya-nchi-yaanza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago