Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri mkuu Majaliwa apokea tuzo za Lulu na Richie

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo  kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigeari...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo  kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigearia. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
 Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa msanii wa filamu, Single Mtambalike ambayo  msanii huyo  alishinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Wasanii wa filamu  Elizabeth Michael na Single Mtambalike baada ya kupokea tuzo  za wasanii hao walizoshinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  baada ya kupokea tuzo za wasanii wa filamu nchini walizoshinda nchini Nigeria. Wasanii hao ni Elizabeth Michael na Single Mtambalike. Shughuli hiyo ilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri mkuu Majaliwa apokea tuzo za Lulu na Richie
Waziri mkuu Majaliwa apokea tuzo za Lulu na Richie
https://4.bp.blogspot.com/-POW11JPlP4U/VuLbqy9BP9I/AAAAAAADf1c/V0GPDBr2XBYTL1iquhFF2AzFM4swMLEIA/s640/lu4.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-POW11JPlP4U/VuLbqy9BP9I/AAAAAAADf1c/V0GPDBr2XBYTL1iquhFF2AzFM4swMLEIA/s72-c/lu4.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/waziri-mkuu-majaliwa-apokea-tuzo-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/waziri-mkuu-majaliwa-apokea-tuzo-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago