Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Amfariji Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa  maarufu kwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati ...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa  maarufu kwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka  mjini Muleba kutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo Machi 15, 2016.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa(kulia),akimpa pole Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka,ambaye amefiwa na mama yake.Waziri Mkuu yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia),akimpa pole Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka, aliyefiwa na mama yake,marehemu Aurelia Kajumulo.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa mama wa Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka, alipofika kutoa pole kwa wafiwa.Katikati ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dk. Medard Kalemani na anayefuatia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ,ambao waliongozana na Waziri Mkuu kwenda kutoa pole kwa wafiwa.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu na  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Amfariji Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Amfariji Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo
https://1.bp.blogspot.com/-t0T6WUeQy20/VugPxFH7JeI/AAAAAAADf5Y/IkMn-F5nb-Q6xtFaTUIe_nb6iAAFsC9aQ/s640/104.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-t0T6WUeQy20/VugPxFH7JeI/AAAAAAADf5Y/IkMn-F5nb-Q6xtFaTUIe_nb6iAAFsC9aQ/s72-c/104.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-amfariji.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-amfariji.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago