Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

VIONGOZI WA DINI WAFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR

--- TANGULIZI: Kufuatiahaliya Amani Zanzibar kuwamashakanikutokananamgawany ikomiongonimwajamiiunaosababis hwanat...

---
TANGULIZI:
Kufuatiahaliya Amani Zanzibar kuwamashakanikutokananamgawanyikomiongonimwajamiiunaosababishwanatofautimbalimbalizikiwemo za kisiasa. Baraza la ViongoziwaDinimbalimbalikwaUjenziwa Amani Tanzania (IRCPT) wamewakutanishaviongoziwaDiniwamadhehebumbalimbaliyaUkristonaUislamnaJumuiyaya Hindu kutoka Tanzania Bara naVisiwanikuzungumziahalihalisi Zanzibar naninikifanyikekudumishaamani, ambaobaadayamajadilianoya kina wameazimiayafuatayo:

MAAZIMIO:
Kwakutambuakuwa Zanzibar nimojanawatu wake niwamojanaamaninitunuadhimukwawatanzaniawote,

1.      ViongoziwaDinitunawapongezaWatanzaniawenzetuwa Zanzibar kwakuwawavumilivunakuilinda Amani katikakipindi cha uchaguzinabaadayauchaguzihadinsasa.
2.      ViongoziwaDini, wajitengenasiasa za vyama, kwaniwaowanapaswakuanguzo za jamiizenye Imani naasilitofauti, wasuluhishinawateteziwa Amaninchini
3.      Vyombavyausalama, wawabaininakuwachukuliahatuavikundivyauvunjifuwa Amaniiliwananchiwaishikwa Amani. (Watumienguvuinayostahilinaisiogopeshaumma)
4.      Vyamavyasiasavinavyotoakaulinataarifazisizosahihinakuletauchochezi. Viachemuenendohuoilikudumisha Amani. KwanikilammojaanawajibuwakuiteteaTunuhiiyaTaifa.
5.      TumeyaUchaguzi, wawewaadilifu, kusimamiahaki, sheria, kanuninauwaziilikudumisha Amani katikakipindihiki cha uchaguzi
6.      Vyombovyahabarivisaidiekuhakikishatunapitakwenyeuchaguzikwausalamanaamanikwakutoataarifasahihi, kuzingatiamaadilinakufuatataratibunasheriazilizopo.
7.      Mahaliambapouvunjifuwa Amani nawahusikanidhahirivyombovyausalamawachukuliwehatuastahiki za kisheria.
8.      Wananchiambaopianiwauminiwetuwailinde Amani kutokamioyonimwao, kwaniniwajibuwaowakirohonakijamii.
9.      Wananchiwatakaoshirikikupigakurawakitumiahakiyaoyakimsingi, wahakikishiwe Amani na wale ambaohawatashirikiwasibugudhiwenawaopiawahakikishiwe Amani. 

 --

BAADHI YA VIONGOZI WA DINI WALIOSHIRIKI:
1.       Askofu Valentino Mokiwa, Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jimbo la Dar es salaam
2.       Askofu Augustino Shao, Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar
3.       Alhad Musa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam
4.       Askofu Dickson Kaganda
5.       Sheikh Norman Jongo, Mfanyakazi, Ofisi ya Mufti, Zanzibar
6.       Abdul Hamid Yusuf Mzee, Sheikh Tumbatu
7.       Ismail Asahil
8.       Rev. Thomas Godda Muyya (mwenyekiti Inter Religious Council of Peace Tanzania)
9.       Padri Benedict Kyefumbwa, kutoka Baraza la Maskofu Kanisa Katoliki Dar es salaam

Sikiliza yaliyojiri katika mkutano huo hapa:
Download link
http://we.tl/UcKsGJe5UD


“ZANZIBAR MOJA, WATU WAKE NI WAMOJA, TUUNGANE KULINDA AMANI KWA MAENDELEO YETU”
“AMANI KWANZA”

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: VIONGOZI WA DINI WAFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR
VIONGOZI WA DINI WAFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR
https://3.bp.blogspot.com/-0O52XKLzzzE/Vulg7-4jRqI/AAAAAAADf-M/cFPKQbV4m5srJvv_33fXG6aZX_c5dNr7Q/s640/IMG-20160314-WA0009.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-0O52XKLzzzE/Vulg7-4jRqI/AAAAAAADf-M/cFPKQbV4m5srJvv_33fXG6aZX_c5dNr7Q/s72-c/IMG-20160314-WA0009.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/viongozi-wa-dini-wafanya-mkutano-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/viongozi-wa-dini-wafanya-mkutano-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago