Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA JIJINI DAR LEO.

   Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baad...

   Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan.
  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait (Kushoto katikati).Wengine katika picha hiyo ni Maafisa kutoka Tanzania na Kuwait. Picha na Eleuteri Mangi –MAELEZO.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA JIJINI DAR LEO.
TANZANIA NA KUWAIT ZASAINI MAKUBALIANO YA SAFARI ZA ANGA JIJINI DAR LEO.
https://3.bp.blogspot.com/-8boat8f_TqA/VvqCHIx-9AI/AAAAAAADgag/5BRomZ_nuJgjwzw5koQ0MPb2lRFQC9uGQ/s640/01.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-8boat8f_TqA/VvqCHIx-9AI/AAAAAAADgag/5BRomZ_nuJgjwzw5koQ0MPb2lRFQC9uGQ/s72-c/01.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/tanzania-na-kuwait-zasaini-makubaliano.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/tanzania-na-kuwait-zasaini-makubaliano.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago