Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Spika wa Bunge Job Ndugai amtembelea na kumpa pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuafuatia kifo cha kaka yake Mzee Selemani Mrisho Kikwete.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiwasili (kulia) nyumbani kwa marehem u Mzee Selemani M...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiwasili (kulia) nyumbani kwa marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara alipomtembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (katikati) pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi wakijadiliana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi wakiomba dua nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na baadhi ya watu waliotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib mara walipokutana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwan Kikwete mara alipotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(katikati) akiagana na  baadhi wa waombolezaji mara alipotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimsindikiza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(katikati) akiagana na  baadhi wa waombolezaji mara alipotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Baadhi ya waomborezaji waliohudhuria kuhani msiba nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole leo Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Spika wa Bunge Job Ndugai amtembelea na kumpa pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuafuatia kifo cha kaka yake Mzee Selemani Mrisho Kikwete.
Spika wa Bunge Job Ndugai amtembelea na kumpa pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuafuatia kifo cha kaka yake Mzee Selemani Mrisho Kikwete.
https://3.bp.blogspot.com/-rf-i3NtstVM/VtcFWQLP6eI/AAAAAAADfco/ZiScmvepjrY/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-rf-i3NtstVM/VtcFWQLP6eI/AAAAAAADfco/ZiScmvepjrY/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-wa-bunge-job-ndugai-amtembelea-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-wa-bunge-job-ndugai-amtembelea-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago