Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUNGUA MKUTANO KATI YA BAADHI YA WABUNGE NA WADAU WA AFYA

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mtaalamu  Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson....

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mtaalamu  Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson. Walikuwa wakizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano uliowahusisha baadhi ya Wabunge na wadau wa Afya. Mkutano huo ulilenga kujadili kuhusu uwekezaji katika Sekta ya Afya na ulifayika leo tarehe 3 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akihutubia wadau mbalimbali wa Afya waliokutana kujadili juu ya uwekezaji katika Sekta ya Afya hapa nchini.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto), Naibu Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Hamis Kigwangala pamoja na Mtaalamu  Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson wakifuatilia mazungumzo juu ya uwekezaji katika sekta ya Afya. Anayezungumza ni Mwakilishi wa Shirika la Afya hapa nchi Dkt Rufaro Chatora.
 Baadhi ya Wabunge na Wadau wa Afya wakifuatilia mazungumzo juu ya uwekezaji katika sekta ya Afya hapa nchini.
 Baadhi ya Wabunge na Wadau wa Afya wakifuatilia mazungumzo juu ya uwekezaji katika sekta ya Afya hapa nchini.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na baadhi ya Wabunge waliohudhuria mkutano wa pamoja na wadau wa Afya kujadaili kuhusu uwekezaji katika sekta ya Afya jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) Mwakilishi wa Shirika la Afya hapa nchi Dkt Rufaro Chatora  (katikakati) na na Mtaalamu  Mwandamizi wa Masuala ya Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Afya Bw.Svend Robinson wakijadili jambo mara baada ya ufunguzi wa Mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali wa Afya kujadili juu ya uwekezaji katika Sekta ya Afya hpa nchini.Picha na Ofisi ya Bunge

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUNGUA MKUTANO KATI YA BAADHI YA WABUNGE NA WADAU WA AFYA
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUNGUA MKUTANO KATI YA BAADHI YA WABUNGE NA WADAU WA AFYA
https://4.bp.blogspot.com/-dRbEv7OB61g/Vt19xKJtPjI/AAAAAAADfoU/Cv6FwAG6uf0/s640/NDG1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-dRbEv7OB61g/Vt19xKJtPjI/AAAAAAADfoU/Cv6FwAG6uf0/s72-c/NDG1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-wa-bunge-job-ndugai-afungua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-wa-bunge-job-ndugai-afungua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago