Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SPIKA AKUTANA NA KATIBU KUTOKA UMOJA WA MABUNGE KANDA YA MAZIWA MAKUU NA UJUMBE KUTOKA KOREA YA KUSINI

 Spika wa Bunge akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemte...

 Spika wa Bunge akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia pembeni ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson
 Spika wa Bunge akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson wakimskiliza  Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo tarehe 8 Machi, 2016.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.
job6Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe.Prosper Higiro aliyemtembelea  ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
job8 
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Katibu wa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe.Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SPIKA AKUTANA NA KATIBU KUTOKA UMOJA WA MABUNGE KANDA YA MAZIWA MAKUU NA UJUMBE KUTOKA KOREA YA KUSINI
SPIKA AKUTANA NA KATIBU KUTOKA UMOJA WA MABUNGE KANDA YA MAZIWA MAKUU NA UJUMBE KUTOKA KOREA YA KUSINI
https://4.bp.blogspot.com/-OSt8naEEGZE/Vt7KMzmUDeI/AAAAAAADfsc/vrq0ydZHeVI/s640/job10.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-OSt8naEEGZE/Vt7KMzmUDeI/AAAAAAADfsc/vrq0ydZHeVI/s72-c/job10.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-akutana-na-katibu-kutoka-umoja-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/spika-akutana-na-katibu-kutoka-umoja-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago