Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SOMA KANUSHI KALI KUTOKA TAMISEMI KUHUSU UVUMI WA AJIRA MPYA ZA WALIMU.

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI  YA RAIS- TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA TAARIFA KWA UMMA Kumekuwa na taarifa za u...

 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI  YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA UMMA
Kumekuwa na taarifa za upotoshaji zinasombazwa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutolewa kwa ajira mpya ya walimu kwa shule za sekondari na msingi kwa mwaka 2015/2016.
Taarifa hizo zinazosambazwa zinaeleza kwamba walimu wapatao 17,928 wa cheti (Daraja IIIA) , 5,416 wa Stashahada kwa sekondari na 12,677  kwa  shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania Bara wamepangwa kwa ajili ya kuanza kazi.
Katika taarifa hiyo inawataka walimu hao waliopangwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi tarehe 01/04/2016.
Taarifa hizo pia zinaeleza kuwa walimu ambao hawataripoti ifikapo tarehe 10/04/2016 hawatapokelewa tena na watakuwa wamepoteza ajira zao.
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa hizo kuwa ni za upotoshaji. Wananchi wanapaswa kuzipuuzia kwani mpaka sasa bado Serikali haijatoa ajira za walimu kwa mwaka 2015/2016.
Ajira mpya za ualimu zitakapokuwa tayari zitatangazwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari na katika tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.
Imetolewa na :
Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
11/03/2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SOMA KANUSHI KALI KUTOKA TAMISEMI KUHUSU UVUMI WA AJIRA MPYA ZA WALIMU.
SOMA KANUSHI KALI KUTOKA TAMISEMI KUHUSU UVUMI WA AJIRA MPYA ZA WALIMU.
https://4.bp.blogspot.com/-hFS1c3mnfpw/VuLWo7DZYLI/AAAAAAADf0U/J5M5U7njqiMxPU5ERtOPwr77MYWci5mvA/s200/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
https://4.bp.blogspot.com/-hFS1c3mnfpw/VuLWo7DZYLI/AAAAAAADf0U/J5M5U7njqiMxPU5ERtOPwr77MYWci5mvA/s72-c/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/soma-kanushi-kali-kutoka-tamisemi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/soma-kanushi-kali-kutoka-tamisemi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago