Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Serikali yamkabidhi Cheka Cheti cha pongezi kutokana na ushindi wake.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(kulia) akiwa ameambatana na Bondia Francis Cheka (wapili kulia) ...

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(kulia) akiwa ameambatana na Bondia Francis Cheka (wapili kulia) alipotembelea Wizarani leo jijini Dar es Salaam na Serikali imemkabidhi  Cheti cha pongezi. Kushoto ni Rais wa Chama cha ngumi Tanzania (TPBO) Yassin Adballah (Ustadh).
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akimkabidhi Cheti cha pongezi Bondia Francis Cheka kutokana na ushindi alioupata katika pambano baina yake na Bondia Mserbia anayeishi Uingereza Geard Ajetovic (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) na Bondi Francis Cheka wakiwaonyesha waandishi wa Habari Mkanda wa uzito wa Super Middle wa Mabara ambao Cheka ameunyakuwa baada ya kushinda pambano la tarehe 27 Februari baina yake na Bondia Mserbia anayeishi Uingereza Geard Ajetovic (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja wa Bondia huyo Chifu Ndambile Juma Ntinginya.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wapili kushoto) akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa BMT Mohamed Kiganja (aliyesimama) akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa zoezi la kumkabidhi Cheti cha pongezi Bondia Francis Cheka (kushoto) kutokana na ushindi wa Mkanda wa Uzito wa Super Middle wa Mabara wa WBF leo jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa zoezi la kumkabidhi Cheti cha pongezi kutokana na ushindi Bondia Francis Cheka (kushoto) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge.
Bondia Francis Cheka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati wa zoezi la kupokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Serikali leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye,Rais wa Chama cha ngumi Tanzania (TPBO) Yassin Adballah (Ustadh) na Meneja wa Bondia huyo Chifu Ndambile Juma Ntinginya.Picha na Frank Shija, WHUSM

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Serikali yamkabidhi Cheka Cheti cha pongezi kutokana na ushindi wake.
Serikali yamkabidhi Cheka Cheti cha pongezi kutokana na ushindi wake.
https://4.bp.blogspot.com/-RhsQRLzt4XU/VtmGyiwga0I/AAAAAAADflI/QnTaJUPk5x0/s640/che1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-RhsQRLzt4XU/VtmGyiwga0I/AAAAAAADflI/QnTaJUPk5x0/s72-c/che1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/serikali-yamkabidhi-cheka-cheti-cha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/serikali-yamkabidhi-cheka-cheti-cha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago