Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kwa Mamlaka aliyopewa amemteua Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA kuwa Mw...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kwa Mamlaka aliyopewa amemteua Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kuanzia Februari 17, 2016.
 
Uteuzi huo ni wa miaka mitatu kuanzia tarehe 17 Februari, 2016 hadi 16 Februari, 2019.
Kabla ya uteuzi huo Profesa Nkunya alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Programu ya Mapitio ya Mfumo wa Taifa wa Ubunifu (National Innovation System Review Programme).
Uteuzi huo unafuatia kumalizika kwa muda wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo.  

Taarifa hii imetolewa na,
Eng. Joseph M. Nyamhanga
KATIBU MKUU (UJENZI),
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
01 Machi, 2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC)
Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC)
https://4.bp.blogspot.com/-wtBvTVvmAn8/VtWJJQI1HzI/AAAAAAADfY8/Z3W9Xm369Z8/s640/maxresdefault.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-wtBvTVvmAn8/VtWJJQI1HzI/AAAAAAADfY8/Z3W9Xm369Z8/s72-c/maxresdefault.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/profesa-mayunga-habibu-nkunya-ateuliwa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/profesa-mayunga-habibu-nkunya-ateuliwa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago