Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

POLISI NCHINI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA MTEJA.

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro (SACP) Ulrich Matei, akitoa neno mbele ya washiriki wa mkutano mkuu wa URA SACCOS (hawapo pichan...

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro (SACP) Ulrich Matei, akitoa neno mbele ya washiriki wa mkutano mkuu wa URA SACCOS (hawapo pichani) wakati akifungua mkutano huo wa siku mbili wa chama cha ushirika cha kuweka akiba na mikopo, unaofanyika mkoani Morogoro.
 Washiriki wa chama cha ushirika cha kuweka akiba na mikopo URA SACCOS Wakiimba wimbo wa maadili  kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu  wa siku mbili unaofanyika mkoani Morogoro.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro (SACP) Ulrich Matei, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa Chama cha Ushirika cha Kuweka Akiba na Mikopo (URA SACCOS) mara baada ya kufungua rasmi mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mkoani morogoro huku ukiwashirikisha askari polisi kutoka mikoa yote Tanzania bara na visiwani.(Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: POLISI NCHINI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA MTEJA.
POLISI NCHINI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA MTEJA.
https://4.bp.blogspot.com/-W4g7WdboTeA/Vt7P6V3bO4I/AAAAAAADfto/r5oaFPz4Rc4/s640/JH9A0028.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-W4g7WdboTeA/Vt7P6V3bO4I/AAAAAAADfto/r5oaFPz4Rc4/s72-c/JH9A0028.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/polisi-nchini-watakiwa-kutoa-huduma.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/polisi-nchini-watakiwa-kutoa-huduma.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago