Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha:Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha amkabidhi Rasmi cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio Zanzibar kwa Mshindi wa Kiti Cha Urais,Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein

  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumb...

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa   Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa mshindi leo na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakipongezwa  na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo  Bw,Khamis  Iddi Lila  (wa pili kulia) baada ya kutangazwa mshindi wakati matokeo ya uchaguzi huo leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa makofi wakati alipotangazwa kuwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa  na Watoto wake  baada ya kutangazwa mshindi wakati wa matokeo ya uchaguzi huo  leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa na  Mgombea wa Urais kupitia Chama cha AFP Said Soud Said  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapindiuzi (CCM) na Wananchi na Vyma vya Upinzani waliohudhuria katika hafla ya utolewaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Marudio katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
 Viongozi mbali mbali wa CCM na vyama vya upinzani wakishuhudia matokeo ya uchaguzi Mkuu wa marudio yaliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid Mohammed akitoa shukurani kwa niaba ya Vyama mbali mbali vilivyoshiriki uchaguzi wa marudio  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.Picha na IKULU-Zanzibar

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha:Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha amkabidhi Rasmi cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio Zanzibar kwa Mshindi wa Kiti Cha Urais,Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein
Picha:Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha amkabidhi Rasmi cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio Zanzibar kwa Mshindi wa Kiti Cha Urais,Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein
https://3.bp.blogspot.com/-UNYcbc94IQo/Vu_xwVgUz4I/AAAAAAADgOU/V8uB2ta3p_o5cdN3K0Vik2gqNmVyXEOqg/s640/SH13.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-UNYcbc94IQo/Vu_xwVgUz4I/AAAAAAADgOU/V8uB2ta3p_o5cdN3K0Vik2gqNmVyXEOqg/s72-c/SH13.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/pichamwenyekiti-wa-tume-ya-uchaguzi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/pichamwenyekiti-wa-tume-ya-uchaguzi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago