Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:MSAFARA WA NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO WAPATA AJALI BAGAMOYO

Msafara wa Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO umepata Ajali mbaya Na Watu kadhaa wapoteza Maisha Naibu waziri TAMISEMI Mh Selemani...

Msafara wa Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO umepata Ajali mbaya Na Watu kadhaa wapoteza Maisha Naibu waziri TAMISEMI Mh Selemani Jafo Amepata Ajali ktk Msafara wake huko Mapinga Magamoyo Baada ya Roli kugonga Magari Matatu yakiyokuwa mbele yake ktk Msafara Wake!

Na Waliofariki ni Maafisa toka Halmashauri ya Bagamoyo! watu kadhaa  wamefariki papo hapo na Majeruhi kadhaa  ambao Wamekimbizwa Hospitali kwa Sasa!

Naibu waziri Yeye yuko Salama na Ndio anashughulikia Kufanya uokozi katika eneo la ajali  na kukwamua baadhi ya majeruhi hao

Chanzo cha Ajali hii ni Uzembe wa Dereva wa Gari Dogo na Mtu wa Roli Kubwa Kuover Take ktk Mlima na Msafara ukiwa Unakuja Mbele licha yakuwa Tayali Mbele Gari ya Asali kuashiria Msafara unakuja lakini Madereva hawa Walitoka kuwahi na kusababisha Ajali ambayo imepoteza Uhai wa watu, Kuumiza watu nakuharibu Mali za Serikali

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:MSAFARA WA NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO WAPATA AJALI BAGAMOYO
PICHA:MSAFARA WA NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO WAPATA AJALI BAGAMOYO
https://2.bp.blogspot.com/-r6BMSF-7Dmk/Vu_p6XRawKI/AAAAAAADgKw/LoCd4b5zUfMlNnkFMJYQhgN7fHD_DdZtQ/s640/aj1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-r6BMSF-7Dmk/Vu_p6XRawKI/AAAAAAADgKw/LoCd4b5zUfMlNnkFMJYQhgN7fHD_DdZtQ/s72-c/aj1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/pichamsafara-wa-naibu-waziri-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/pichamsafara-wa-naibu-waziri-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago