Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA NA IKULU: RAIS DR JOHN MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE ALIPOTUA MWANZA KWA MUDA AKIELEKEA CHATO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa w...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakijipatia chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi. Pamoja nao mezani hapo ni Meya wa Ilemela Mstahiki Renatus Mulunga, Meya wa jiji la Mwanza Mstahiki James Bwire, Mkuu wa Mkoa wa MWanza  Mhe John Mongella na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Ndg Anthony Diallo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakiondoka baada ya kupata  chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamopja na kwaya ya Vijana ya Makongoro na viongozi wa dini katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi.Picha na IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA NA IKULU: RAIS DR JOHN MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE ALIPOTUA MWANZA KWA MUDA AKIELEKEA CHATO
PICHA NA IKULU: RAIS DR JOHN MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE ALIPOTUA MWANZA KWA MUDA AKIELEKEA CHATO
https://4.bp.blogspot.com/-0dQ6e6bmiFc/VvqKR5KpJuI/AAAAAAADgbs/wyiT1FFwKI82K5XCLigB8uSkqPYMaRKeQ/s640/m2.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-0dQ6e6bmiFc/VvqKR5KpJuI/AAAAAAADgbs/wyiT1FFwKI82K5XCLigB8uSkqPYMaRKeQ/s72-c/m2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/picha-na-ikulu-rais-dr-john-magufuli.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/picha-na-ikulu-rais-dr-john-magufuli.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago