Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI MKOANI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI

    Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia), akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigom...

 
  Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia), akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma,Aziz Mutabuzi, mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati),akiongozana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,RPC Ferdinand Mtui(kulia) na Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma, Dismas Mosha(kushoto).Naibu Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
  Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,akiweka saini kwenye kitabu cha wageni, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.Katikati ni Mratibu wa Wakimbizi Mkoa wa Kigoma, Tonny Samuel Laizer na kulia ni Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma,Dismas Mosha.
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,Saveli Maketta(kushoto), akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni.Naibu Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI MKOANI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI
NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI MKOANI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI
https://3.bp.blogspot.com/-khyUrEpwKLw/VvqGYmsFQkI/AAAAAAADgbY/IcXbKx8ThxAP4ISzSriNxOE78bs4g1yqw/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-khyUrEpwKLw/VvqGYmsFQkI/AAAAAAADgbY/IcXbKx8ThxAP4ISzSriNxOE78bs4g1yqw/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/naibu-waziri-wizara-ya-mambo-ya-ndani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/naibu-waziri-wizara-ya-mambo-ya-ndani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago