Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NAIBU SPIKA WA BUNGE AHUDHURIA VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KATIKA KUMBI ZA BENKI KUU JIJINI DAR ES SALAAM

    Naibu Spika wa Bunge, Tulia Mwansasu (kushoto) akizungumza na wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo alipohudhuria kikao cha ka...

  Naibu Spika wa Bunge, Tulia Mwansasu (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo alipohudhuria kikao cha kamati hiyo kilichoketi katika Kumbi za Benki Kuu (BoT Dar es Salaam .Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa  kamati hiyo, William Ngeleja.
 Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo, William Ngeleja (kulia), akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge, Tulia Mwansasu (kushoto), katika kikao cha kamati hiyo kilichoketi Dar es Salaam leo. Naibu Spika jana alihudhuria baadhi ya vikao vya Kamati za Bunge.
 Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, Joseph Mhagama (kulia), akizungumza na wajumbe wa kamti hiyo (hawapo pichani), wakati akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge kwenye kikao hicho.
 Mjumbe wa kamati hiyo, Omary Badwel akichangia jambo kwenye kikao hicho mbele ya Naibu Spika. Kushoto ni Mjumbe Anna Joram Kidarya.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo wakiwa kwenye kikao hicho.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NAIBU SPIKA WA BUNGE AHUDHURIA VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KATIKA KUMBI ZA BENKI KUU JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU SPIKA WA BUNGE AHUDHURIA VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KATIKA KUMBI ZA BENKI KUU JIJINI DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-WJDyNk4VUXA/VvAlw5U5UNI/AAAAAAAAVrQ/JohwTtHEpA8JuXaJmRV3b6TS7Wi1kUdFA/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-WJDyNk4VUXA/VvAlw5U5UNI/AAAAAAAAVrQ/JohwTtHEpA8JuXaJmRV3b6TS7Wi1kUdFA/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/naibu-spika-wa-bunge-ahudhuria-vikao.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/naibu-spika-wa-bunge-ahudhuria-vikao.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago