Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWANARIADHA WA TANZANIA ALPHONCE FELIX AREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA LAKE BIWA MARATHONI YA NCHINI JAPAN.

Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake B...

Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akisalimiana na mdau wa riadha ,Whileam Gidabuday aliporejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix (katikati)  akiwa na kocha wa timu ya taifa ya riadha Francis John waliporejea nchini wakitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ngao ya ushindi wa nafasi ya tatu aliyopata katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akionesha zawadi aliyopewa baada ya kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Lake Biwa Marathon ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Picha Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWANARIADHA WA TANZANIA ALPHONCE FELIX AREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA LAKE BIWA MARATHONI YA NCHINI JAPAN.
MWANARIADHA WA TANZANIA ALPHONCE FELIX AREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA LAKE BIWA MARATHONI YA NCHINI JAPAN.
https://1.bp.blogspot.com/-rTAlNfJ_PVA/Vt_ayO8uiaI/AAAAAAAAbYE/4lrs9Jxg-ew/s640/E86A7890%2B%25281280x853%2529.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-rTAlNfJ_PVA/Vt_ayO8uiaI/AAAAAAAAbYE/4lrs9Jxg-ew/s72-c/E86A7890%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/mwanariadha-wa-tanzania-alphonce-felix.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/mwanariadha-wa-tanzania-alphonce-felix.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago