Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA MKOA WA PWANI ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA BAGAMOYO

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo akimjulia hali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Ibrahim Mato...


 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo akimjulia hali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Ibrahim Matovu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) anapo endelea kupatiwa huduma mapema  Dar es Salaam leo, ambapo anatarajiwa kuruhusiwa kwa leo au kesho kutokana na haliyake kuendelea vizuri (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA )
 Diwani wa Kata ya Kilomo, Bagamoyo, Hassan Usinga (Wembe) akimjulia hali Afisa Maendeleo ya Jamii ya Bagamoyo Julius Mwanganda mara alipofika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) anapopatiwa matibabu kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani  humo hivi karibuni
 Diwani wa Kata ya Maboga iliyopo wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa, Vemi Chambala akimsimulia   Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo (aliyefunga mikono) wakati alipofika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Muhimbili, kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya Bagamoyo  ambapo wanapata matibabu kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani humo
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo, akimjulia hali Afisa Maendeleo ya Jamii ya Bagamoyo Julius Mwanganda

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA MKOA WA PWANI ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA BAGAMOYO
MKUU WA MKOA WA PWANI ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA BAGAMOYO
https://1.bp.blogspot.com/-97dUlqJG-2c/VvKcSYi13zI/AAAAAAAAVno/VuiHqpdkJLQWzQ2JhorJ_r1Hg6u1qbnuA/s640/_DSC0957.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-97dUlqJG-2c/VvKcSYi13zI/AAAAAAAAVno/VuiHqpdkJLQWzQ2JhorJ_r1Hg6u1qbnuA/s72-c/_DSC0957.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/mkuu-wa-mkoa-wa-pwani-atembelea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/mkuu-wa-mkoa-wa-pwani-atembelea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago