Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MBUNGE WA KIGAMBONI DKT NDUGULILE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA USHAURI YA MASUALA YA UKIMWI, AFYA YA KINA MAMA NA WATOTO YA MABUNGE DUNIANI

Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile. (Mb) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Kamati ya Ushauri ya masuala ya UKIMWI, Afya ya kina mama...


Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile. (Mb) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Kamati ya Ushauri ya masuala ya UKIMWI, Afya ya kina mama na Watoto ya Taasisi ya Mabunge Duniani (IPU).

Dkt Ndugulile amechaguliwa katika mkutano wa 134 wa Mabunge duniani unaoendelea mjini Lusaka, Zambia. Mkutano huu ulioanza tarehe 17 Machi unatarajia kuisha tarehe 23 Machi. Kabila ya kuchaguliwa kwake Dkt Ndugulile alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hii.

Kamati hii inajumuisha wabunge wasiozidi kumi na mbili (12) ambao huteuliwa na Rais wa IPU kutokana umahiri na mchango wao katika masuala ya UKIMWI na masuala ya Afya ya Mama na Watoto. Wajumbe wengine wa kamati hii wanatoka nchi za Armenia, India, Bangladesh, Afrika Kusini, Rwanda, Italia, Ubelgiji, Austria, Sweden, Dominica na Marekani.
Majukumu ya Kamati hii n kushauri, kujengea uwezo na kuhamasisha Mabunge Duniani kuhusiana na na njia bora za kuboresha huduma za UKIMWI pamoja na Afya za kina mama na watoto.

Dkt Ndugulile ni daktari na mbobezi kwenye magonjwa ya maambukizi na pia kwenye Afya ya jamii. Pamoja na majukumu haya mapya, Dkt Ndugulile ni mwakilishi wa bara la Afrika katika Taasisi ya Kimataifa ya UKIMWI (International AIDS Society), mjumbe wa kamati ya wabunge duniani kuhusu masuala ya TB (Global TB Caucus) na Mwakilishi WA Bunge la Tanzania kwenye Bunge la Afrika (Pan African Parliament).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MBUNGE WA KIGAMBONI DKT NDUGULILE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA USHAURI YA MASUALA YA UKIMWI, AFYA YA KINA MAMA NA WATOTO YA MABUNGE DUNIANI
MBUNGE WA KIGAMBONI DKT NDUGULILE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA USHAURI YA MASUALA YA UKIMWI, AFYA YA KINA MAMA NA WATOTO YA MABUNGE DUNIANI
https://4.bp.blogspot.com/-3PfdGIwYTy0/Vu57TVJZB-I/AAAAAAADgIk/Zju2wRaEe-ASr5fb8CA2ziWBvw9bUF-Yg/s640/01_11_sxkz1w.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-3PfdGIwYTy0/Vu57TVJZB-I/AAAAAAADgIk/Zju2wRaEe-ASr5fb8CA2ziWBvw9bUF-Yg/s72-c/01_11_sxkz1w.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/mbunge-wa-kigamboni-dkt-ndugulile.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/mbunge-wa-kigamboni-dkt-ndugulile.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago