Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MBUNGE MAGIGE AKARABATI OFISI YA UWT MKOA WA ARUSHA

 Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige, leo amekabidhi ofisi ya UWT mkoa wa Arusha ambayo amefanyia uk...


 Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige, leo amekabidhi ofisi ya UWT mkoa wa Arusha ambayo amefanyia ukarabati na kuweka vitu vya thamani iliyogharimu shilingi milioni 6 na nusu. 
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Arusha Flora Zelothe akimpa mkono Mhe. Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige mara baada ya makabidhiano ya vitu vya ofisi vyenye thamani ya shilingi milioni 6.5. Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akicheza ngoma na viongozi wa UWT mkoa wa Arusha mara baada ya kukabidhi ofisi ya UWT aliyokarabati kwa gaharama ya shilingi milioni 6.5 ,ambapo ofisi imepakwa rangi ,kuwekwa tiles , viti, meza , amakabati pamoja na TV.
Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wajumbe wa UWT mkoani Arusha.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MBUNGE MAGIGE AKARABATI OFISI YA UWT MKOA WA ARUSHA
MBUNGE MAGIGE AKARABATI OFISI YA UWT MKOA WA ARUSHA
https://3.bp.blogspot.com/-jLw00-NSUx8/VtwQuEG9OgI/AAAAAAAAAGk/9yWePuGqqtA/s640/P1250838.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-jLw00-NSUx8/VtwQuEG9OgI/AAAAAAAAAGk/9yWePuGqqtA/s72-c/P1250838.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/mbunge-magige-akarabati-ofisi-ya-uwt.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/mbunge-magige-akarabati-ofisi-ya-uwt.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago