Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA NA INDIA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea, Wakati Rais huyo na Ujumbe wake alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia juu ya kukuza na kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea, Wakati Rais huyo na Ujumbe wake alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia juu ya kukuza na kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea ratiba ya mpango wa maendeleo wa Jumuiya ya GLOBAL  SAEMAUL  UNDONG kutoka kwa  Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT  NETWORK  ya Jamhuri ya Korea, Wakati Rais huyo na Ujumbe wake walipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia juu ya kukuza na kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpango wa maendeleo wa Viwanda ulioandaliwa na Kampuni ya RAK INTERNATIONAL  LTD ya India, Wakati Ujumbe wa Kampuni hiyo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwa lengo la kutaka kuwekeza Viwanda vya Sukari hapa Nchini. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya RAK INTERNATIONAL LTD  Bw. Sundeep Patil.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe wa Uwekezaji katika Nyanja wa Viwanda vya Sukari kutoka Kampuni ya RAK INTERNATIONAL LTD ya India, Wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwa lengo la kutaka kuwekeza Viwanda vya Sukari hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya GLOBAL  SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea, Wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016,

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA NA INDIA LEO
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA NA INDIA LEO
https://4.bp.blogspot.com/-l1XblJ8gYx0/Vt7MuCtWlLI/AAAAAAADfsw/JMNl5DSRtwQ/s640/jip1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-l1XblJ8gYx0/Vt7MuCtWlLI/AAAAAAADfsw/JMNl5DSRtwQ/s72-c/jip1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/makamu-wa-rais-mhe-samia-akutana-na_8.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/makamu-wa-rais-mhe-samia-akutana-na_8.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago