Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS AZINDUA SALA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA NA AUNGUA MKUTANO WA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA LEO.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabung...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi hizo. Mkutano huo umefunguliwa leo katika ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es salaa
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mtandao wa kitaifa wa Kingdom Leadership Network Tanzania na viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani wakati wa uzinduzi wa mpango wa Sala maalum ya kuliombea Taifa utakaofanyika kila mwaka, uzinduzi huo umezinduliwa leo March 03, 2016 katika Hoteli ya Hayyat jijini Dar es salaam.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa na viongozi wa Mtandao wa Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani, wakati wa uzinduzi wa mpango wa Sala maalum ya kuliombea Taifa utakaofanyika kila mwaka, uzinduzi huo umezinduliwa leo March 03, 2016 katika Hoteli ya Hayyat jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Sheyros Banji nje wa ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es salaam leo March 03,2016 baada ya kufungua mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi hizo.
 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Kitaifa wa Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali Duniani baada ya uzinduzi wa Mpango wa Sala Maalum ya kuliombea Taifa uliofanyika leo March 03,2016 katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua mkutano wa tisa unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika ndani ya Nchi hizo.mkutano huo umefunguliwa leo Marchi 03,2016 katika ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es salaam. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS AZINDUA SALA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA NA AUNGUA MKUTANO WA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA LEO.
MAKAMU WA RAIS AZINDUA SALA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA NA AUNGUA MKUTANO WA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA LEO.
https://1.bp.blogspot.com/-U1DAlW_KxVc/VthOv5MdK1I/AAAAAAADfiQ/h61nvyL8aUI/s640/IMG_3183.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-U1DAlW_KxVc/VthOv5MdK1I/AAAAAAADfiQ/h61nvyL8aUI/s72-c/IMG_3183.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/makamu-wa-rais-azindua-sala-maalum-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/makamu-wa-rais-azindua-sala-maalum-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago