Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU WA BUNGE AKAGUA UKARABATI JENGO LA BUNGE

Ukaguzi unaendelea.    Mwonekano wa Meza Mpya zilizofungwa katika Ukumbi wa Bunge. Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilil...


Ukaguzi unaendelea.
 
 Mwonekano wa Meza Mpya zilizofungwa katika Ukumbi wa Bunge.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini mara inayofunga meza mpya katika ukumbi wa Bunge maada ya kukagua ukarabati wa Jengo la Bunge.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akijaribisha kukaa katika moja wapo ya kiti kilichofungwa katika meza mpya kwenye ukumbi wa Bunge. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini akimpa maelezo juu ya namna viti na meza hizo vitakavyokuwa vinatumika baada ya kukamilika.
Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini akitoa maelezo juu ya hatua iliyofikiwa katika ufugaji meza mpya katika ukumbi wa Bunge kwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (mwenye miwani) alipotembelea kujionea hatua ya ukarabati wa Jengo la Bunge ilipofikiwa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU WA BUNGE AKAGUA UKARABATI JENGO LA BUNGE
KATIBU WA BUNGE AKAGUA UKARABATI JENGO LA BUNGE
https://4.bp.blogspot.com/-n9eWtAlT_7k/VuwQXCTHI_I/AAAAAAADgFA/3v9EG0bLQNYFNWj4npWQ5RTu9RY8Tag2Q/s640/4.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-n9eWtAlT_7k/VuwQXCTHI_I/AAAAAAADgFA/3v9EG0bLQNYFNWj4npWQ5RTu9RY8Tag2Q/s72-c/4.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/katibu-wa-bunge-akagua-ukarabati-jengo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/katibu-wa-bunge-akagua-ukarabati-jengo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago