Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KAMATI YA BUNGE, MALIASILI, UTALII, ARDHI NA MAZINGIRA WAMTAKA WAZIRI LUKUVI KUFUTA HATI MILIKI YA ECO ENERGY

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Injinia Ramo Makani kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili,Ardhi na Utalii,Meja...


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Injinia Ramo Makani kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili,Ardhi na Utalii,Meja Jenerali Gaudance Milanzi katikati kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA),Ibrahim Mussa wakati wa ziara ya siku moja ya kamati ya Bunge Maliasili,Ardhi na Utalii kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadani,
Wajumbe wa Kamati ya Bunge,Maliasili,Ardhi na Utalii wakiingia kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadani jana
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge,Maliasili,Ardhi na Utalii Atashasta Justus Nditiye akitoa maazimio ya kamati hiyo mara baada ya kuitembelea hifadhi ya Taifa ya Sadani wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo,Marry Chatanda ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe mjini.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Injia Ramo Makani akizungumza wakati wa ziara hiyo
Kaimu Mkurugenzi wa (TANAPA),Ibrahim Mussa akizungumza wakati za ziara ya kamati ya Bunge Maliasili,Utalii na Ardhi Mazingira ilipotembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudance Milanzi akizungumza wakati za ziara ya siku moja ya Kamati ya Bunge ya Maliasili,Utalii na Ardhi
 Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Tanapa,Mtango Mtaniko akizungumza wakati wa ziara ya kamati ya Bunge Maliasili,Utalii na Ardhi walipofanya ziara ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani
Mjumbe wa Kamati ya Bunge Maliasili,Utalii,Ardhi na Mazingira,Pauline Gekule akiulizwa swali wakati ziara hiyo

MJUMBE wa Kamati ya Bunge,Maliasili,Ardhi na Utalii,Shabani Shekilindi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga akiuliza swali wakati wa ziara hiyo

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini,Marry Chatanda ambaye pia  ni mjumbe wa kamati hiyo akichangia hoja kwenye ziara hiyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudance Milanzi kulia akiteta jambo na Meneja wa Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete wakati kamati ya Bunge Maliasili,Ardhi na Utalii walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani Picha kwa Hisani ya Tanga Raha Blog

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KAMATI YA BUNGE, MALIASILI, UTALII, ARDHI NA MAZINGIRA WAMTAKA WAZIRI LUKUVI KUFUTA HATI MILIKI YA ECO ENERGY
KAMATI YA BUNGE, MALIASILI, UTALII, ARDHI NA MAZINGIRA WAMTAKA WAZIRI LUKUVI KUFUTA HATI MILIKI YA ECO ENERGY
https://3.bp.blogspot.com/-DF4oaN9_854/Vv0EAbMi4qI/AAAAAAAAMg8/vLZfkbnreyoeiw55J7vmyfkg6fknF_9VA/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-DF4oaN9_854/Vv0EAbMi4qI/AAAAAAAAMg8/vLZfkbnreyoeiw55J7vmyfkg6fknF_9VA/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/kamati-ya-bunge-maliasili-utalii-ardhi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/kamati-ya-bunge-maliasili-utalii-ardhi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago