Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

IKULU:RAIS JOHN MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA MPYA WA SONGWE MHE. CHIKU GALLAWA IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mp...


Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
rais ikulu
Bonyeza hapa kushuhidia tukio hilo.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya kiapo mara baada ya kuapa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa baada ya kumuapisha kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016. Kulia ni mume wa Mkuu huyo wa Mkoa Bw. Juma`Boma na kushoto ni bintiye.
Chiku Gallawa
Mkuu wa mkoa mpya wa Songe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa.(PICHA NA IKULU).
-----

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli mapema leo amemuapisha Mh. Chiku Galawa (Pichani) kuwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Songwe, Tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: IKULU:RAIS JOHN MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA MPYA WA SONGWE MHE. CHIKU GALLAWA IKULU DAR ES SALAAM
IKULU:RAIS JOHN MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA MPYA WA SONGWE MHE. CHIKU GALLAWA IKULU DAR ES SALAAM
http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/03/c1.jpg
https://i.ytimg.com/vi/DCDOZOvS-y8/default.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/ikulurais-john-magufuli-amuapisha-mkuu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/ikulurais-john-magufuli-amuapisha-mkuu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago