Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DKT. KASHILILAH AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL

  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Isr...

  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel wakati alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
 Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimweleza jambo Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plotwakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot (kushoto) akimwelezea jambo Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya trei ya kubebea vinywaji mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Bi. Shosh Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinyago Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
  Mazungumzo katika Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot yakiendelea katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (wa pili kushoto) wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu wa Bunge John Joel.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DKT. KASHILILAH AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL
DKT. KASHILILAH AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL
https://4.bp.blogspot.com/-1X3dvL-wBMk/VvP2emGX0PI/AAAAAAADgT4/TOCT-yl42ysImd0itl77fVpHvJohZelNA/s640/picha%2B1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-1X3dvL-wBMk/VvP2emGX0PI/AAAAAAADgT4/TOCT-yl42ysImd0itl77fVpHvJohZelNA/s72-c/picha%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/dkt-kashililah-akutana-na-mkurugenzi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/dkt-kashililah-akutana-na-mkurugenzi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago