Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

CHAMA CHA WAGONJWA WA KISUKARI WAANDAA KAMBI YA UPIMAJI BILA MALIPO.

 Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ugobjwa wa Kisukari(Tanzania Diabets Association), Profesa Andrea Swai akizungumza na waandishi ...

 Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ugobjwa wa Kisukari(Tanzania Diabets Association), Profesa Andrea Swai akizungumza na waandishi wa habari jinini Dar es Salaam leo kuhusiana na maradhi ya ugonjwa wa kisukari pamoja na chanzo cha ugonjwa huo ambao sio wa kuambukizwa.
Mwathirika wa ugonjwa wa Kisukari, Ramadhan Mongi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kufuata sheria za ulaji ili kuepukana na ugonjwa wa kisukari ambao ni ugonjwa usaosababishwa na ulaji mbaya wa chakula pamoja na kutokufanya mazoezi.
Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ugonjwa wa Kisukari(Tanzania Diabets Association), Profesa Andrea Swai katikati, kulia ni Mwathirika wa ugonjwa wa Kisukari, Ramadhan Mongi na Mratibu wa Mpango wa kitaifa wa kisukari Tanzania, John Gadna wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na ugonjwa wa Kisukari.
--
CHAMA cha wagonjwa wa Kisukari Tanzania kushirikiana na wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto 

kuandaa kambi ya upimaji wa ugonjwa wa kisukari bila malipo

Machi 13 katika viwanja vya shule ya msingi Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ugonjwa wa Kisukari(Tanzania Diabets Association), Profesa Andrea Swai jijini Dar es Salaam leo amesema kuwa ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa ambao hauambukizwi ambao husababishwa na ulaji mbaya.

 Swai amesema kuwa madaktari na matabibu watakuwepo kwaajili ya kupima afya ya kinywa, kupima uzito naushauri wa lishe siku hiyo na 

watakaogundulika matatizo maalumu watapewa rufaa.

Swai amesema kuwa ugonjwa wa kisukari husababishwa na ulaji mbovu (kula vyakula vilivyokobolewa), kutokufanya mazoezi na kutokula matunda.

Amesema kila watu 100 wakikusanyika kwa kupima ugonjwa wa kisukari hapo utawapata watu 9 wenye kisukari na 2 wanakuwa wanajua na wengine 7 hawajui kama wanaugonjwa huo.

Aidha ametoa wito kwa jamii kufuata kanuni bora za ulaji wa chakula ili kuepukana na ugonjwa huo usio wa kuambukizwa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: CHAMA CHA WAGONJWA WA KISUKARI WAANDAA KAMBI YA UPIMAJI BILA MALIPO.
CHAMA CHA WAGONJWA WA KISUKARI WAANDAA KAMBI YA UPIMAJI BILA MALIPO.
https://2.bp.blogspot.com/-fs5_9X06MYo/VuAu7fTxRnI/AAAAAAADfus/R6RY-UDkhNQ/s640/IMG_2892.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-fs5_9X06MYo/VuAu7fTxRnI/AAAAAAADfus/R6RY-UDkhNQ/s72-c/IMG_2892.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/03/chama-cha-wagonjwa-wa-kisukari-waandaa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/03/chama-cha-wagonjwa-wa-kisukari-waandaa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago