Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkaoni Ruvuma F 5425 PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hil...
Askari
wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkaoni Ruvuma F 5425
PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa kosa la
kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani
alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.