Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI TAMISEMI, SIMBACHAWENE ATEMBELEA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF MJINI DODOMA LEO.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akisalimiana na kiongozi wa LAPF leo alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pensio...


Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akisalimiana na kiongozi wa LAPF leo alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pension wa LAPF mjini Dodoma.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akizungumza na Mfanyakazi wa mfuko huo leo alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pension wa LAPF mjini Dodoma.
  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akisaini kitabu cha wageni leo alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pension wa LAPF mjini Dodoma.
 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chaweneakizungumza na wafanyakazi wa mfuko huo leo alipotembelea ofisi za Mfuko wa Pension wa LAPF mjini Dodoma.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pension wa LAPF  wakimsikiliza Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene alipotembelea ofisi za Mfuko huo mjini Dodoma.
---
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene ametembelea ofisi za Mfuko wa Pension wa LAPF mjini Dodoma Leo. Katika ziara hiyo mh. Waziri amepongeza jitihada za Mfuko kuongeza Wanachana kila mwaka pamoja na huduma bora zinazotolewa kwa wanachama hasa katika kulipa mapema madai ya wananchama.

Akiongea na watumishi wa Mfuko wa LAPF amepongeza jitihada za watumishi kwa utendaji wao mzuri unaopelekea utendaji bora wa Mfuko. Mh. waziri amepongeza uwekezaji unaofanywa na LAPF katika kuhakikisha Mfuko unakuwa endelevu . 

Pia ameahidi kushirikiana na Mfuko ili kuhakikisha unaendelea kufanya vizuri zaidi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI TAMISEMI, SIMBACHAWENE ATEMBELEA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF MJINI DODOMA LEO.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI TAMISEMI, SIMBACHAWENE ATEMBELEA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF MJINI DODOMA LEO.
https://4.bp.blogspot.com/-TNJ8dedgZsU/VrNvU_qoW4I/AAAAAAADem4/ik7PJvJdV7k/s640/1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-TNJ8dedgZsU/VrNvU_qoW4I/AAAAAAADem4/ik7PJvJdV7k/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-wa-nchi-ofisi-ya-raisi-tamisemi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-wa-nchi-ofisi-ya-raisi-tamisemi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago