Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja nakuwasimamisha kazi Wakurugenzi watatu.

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari k ------ Na Ja...

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari k
------
Na JacquilineMrisho MAELEZO
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja nakuwasimamisha kazi Wakurugenziwatatu.

Ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu matatizo ya kiutendaji na matumizi mabaya ya fedhazaUmmayanayofanyikaBodiyaMikopo.

Prof.Joyce Ndalichako amesema kuwa Taasisi ya Bodi ya Mikopo imeonesha utendaji usioridhisha kiasi kwamba kumekuwa na matatizo mengina yanayojirudiarudia kwa wateja wao mara kwa mara.

“Mikopo kwa wanafunzi imekuwa ikichelewa kuwafikia bila sababu za msingi kiasi kwamba imejengeka taswira kwa wanafunzi kwamba hadi walalamike wizara ni ndipo matatizo yao yashughulikiwe hivyo, tatizo sio ukosefu wa fedha bali ni uzembe wa watendaji katika kuwapatia wanafunzi mikopo yao kwa wakati.”AlisemaNdalichako.

Amewataja watumishi aliowasimamisha kazi kuwa ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Yusuph Kisare, Mkurugenzi wa Urejeshaj iMikopo Juma Chagonja pamoja na Mkurugenzi wa Upangaji na Utoaji Mikopo Onesmo Laizer.

Aidha,amezitaja baadhi ya sababu zilizosababishwa kufukuzwa na kusimamishwa kazi kwa watumishi hao zikiwemo za kufanya malipo yasiyo sahihi kwa baadhi ya wanafunzi wanaosoma ndani na nje ya nchi pamoja udhaifu uliobaini kakatika mifuko ya fedha.

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu inajukumu la kutoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wa elimu ya juu na kusimamia urejeshaji wa mikopo hiyo, kwa mwaka wa masomo 2015/2016 jumla ya Shillingi Bilioni 459 imetolewa mikopo kwa wanafunzi 122,486 wanaosoma katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja nakuwasimamisha kazi Wakurugenzi watatu.
Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja nakuwasimamisha kazi Wakurugenzi watatu.
https://2.bp.blogspot.com/-EXhmmp0FaX0/VsNByVZ_3MI/AAAAAAADfBQ/2BIj9sfCkXI/s640/necta..jpg
https://2.bp.blogspot.com/-EXhmmp0FaX0/VsNByVZ_3MI/AAAAAAADfBQ/2BIj9sfCkXI/s72-c/necta..jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-wa-elimu-sayansiteknolojia-na_16.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-wa-elimu-sayansiteknolojia-na_16.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago