Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI NDALICHAKO AFANYA KIKAO NA MKUU WA WILAYA YA HAI,ANTHONY MTAKA.

Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiongozana na Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako alipofika ofisi ya...


Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiongozana na Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako alipofika ofisi ya mkuu huyo wa wilaya na kuzungumza mambo machache na Wakaguzi wa elimu na maofisa elimu wa wilaya ya Hai.
Waziri Ndalichako akitia saini katika kitabu cha wageni ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Hai.
Baadhi ya viongozi wa wilaya ya Hai,wakiwa katika kikao kidogo na Waziri Ndalichako.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka (kushoto) akimueleza jambo Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi ,Prof Joyce Ndalichako aliyefanya kikao kidogo na watumishi wa Elimu katika halmashauri ya wilaya ya Hai.
Waziri Prof Ndalichako akizungumza na viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia elimu katika halmashauri ya wilaya ya Hai.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akimsikiliza kwa makini Prof Ndalichako.
Waziri Prof Ndalichako akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kwa maofisa elimu na wakaguzi wa elimu katika wilaya ya Hai.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI NDALICHAKO AFANYA KIKAO NA MKUU WA WILAYA YA HAI,ANTHONY MTAKA.
WAZIRI NDALICHAKO AFANYA KIKAO NA MKUU WA WILAYA YA HAI,ANTHONY MTAKA.
https://2.bp.blogspot.com/-tY8Vevd5si4/VsFkmFkgwCI/AAAAAAAAakA/uYQN9QXgYgY/s640/IMG_5286%2B%25281280x853%2529.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-tY8Vevd5si4/VsFkmFkgwCI/AAAAAAAAakA/uYQN9QXgYgY/s72-c/IMG_5286%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-ndalichako-afanya-kikao-na-mkuu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/waziri-ndalichako-afanya-kikao-na-mkuu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago