Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Vijana wa Dar wamtaka Rais Magufuli aongee nao, ni baada ya kuongea na Wazee

Shirika la TAFEYOCO (Tanzania Feminist and Youth Change Organization ) linalojihusisha na maswala ya Wanawake na vijana katika kutatu...Shirika la TAFEYOCO (Tanzania Feminist and Youth Change Organization) linalojihusisha na maswala ya Wanawake na vijana katika kutatua changamoto zao kiuchumi, kisiasa na kijamii limemuomba Mhe Rais apange muda wa kuonana na vijana wa mkoa wa Dar es salaam kama alivyofanya kwa wazee.

Wakizungumza jijini Dar es Salaam mapema leo Februari 18, vijana hao kupitia Mwenyekiti wao Elvice John Makumbo wamebainisha kuwa miaka yote viongozi wa nchi ukutana na wazee na kusikiliza changamoto zao lakini kwa sasa Tanzania idadi kubwa ya watu ni vijana na ndio waliokuwa wanakesha na kuyalilia mabadiriko haya tunayoyaona kipindi hiki hivyo tunamuomba Mhe Rais akutane na vijana na kusikiliza changamoto zao na ushauri kwenye utendaji wake.
Tazama hapa kupitia Mo tv Online
vijanaMwenyekiti wa Shirika la TAFEYOCO, Elvice John Makumbo akiongea na wanahabari mapema leo jijini Dar es Salaam (Picha/Video na Andrew Chale,modewjiblog).
Soma zaidi taarifa hiyo hapa:

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Vijana wa Dar wamtaka Rais Magufuli aongee nao, ni baada ya kuongea na Wazee
Vijana wa Dar wamtaka Rais Magufuli aongee nao, ni baada ya kuongea na Wazee
https://i.ytimg.com/vi/Hlb1fm7xskY/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/Hlb1fm7xskY/default.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/vijana-wa-dar-wamtaka-rais-magufuli.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/vijana-wa-dar-wamtaka-rais-magufuli.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago