Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UJENZI WA BARABARA YA MWENGE MPAKA MOROCCO WAENDELEA KWA KASI

 Kipande cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika p...

 Kipande cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika picha .
 Sehemu ya Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika hatua ya kutolewa tabaka ya udongo wa chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama inavyooenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .
Mafundi kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujnzi huo unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
 Mafundi wakijengea bomba la maji eneo la Makumbusho kwa kuliwekea zege na nondo ili kulihakikishia usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu.
Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Bi.Aisha Malima akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mchundo (Civil Technician) wa Kampuni ya Ujenzi ya ESTIM ,Bw. Kano Warema kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Lorietha Laurence –Maelezo).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UJENZI WA BARABARA YA MWENGE MPAKA MOROCCO WAENDELEA KWA KASI
UJENZI WA BARABARA YA MWENGE MPAKA MOROCCO WAENDELEA KWA KASI
https://2.bp.blogspot.com/-gDeS82jpNm8/VsMxMEzRMHI/AAAAAAADfAE/hBQqsqpjkKU/s640/Pix%2B10.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-gDeS82jpNm8/VsMxMEzRMHI/AAAAAAADfAE/hBQqsqpjkKU/s72-c/Pix%2B10.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/ujenzi-wa-barabara-ya-mwenge-mpaka.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/ujenzi-wa-barabara-ya-mwenge-mpaka.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago