Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha na Taarifa:Kijana Joseph Stanford kutoka Mabatini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa utendaji wake wa kazi ambapo ametembea kutoka Mwanza hadi Dar es salaam kwa muda wa siku 25.

 Kijana wa Kitanzania Joseph Stanford ambaye ametembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi jijini Dar es salaam akiongea na waandishi wa haba...

 Kijana wa Kitanzania Joseph Stanford ambaye ametembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi jijini Dar es salaam akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu nia yake ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi yake nzuri kwa wananchi.
Kijana wa Kitanzania Joseph Stanford ambaye ametembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi jijini Dar es salaam akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani mahali alipoanzia kutembea kwa mguu kwa ajili ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi yake nzuri kwa wananchi.
---
 Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, Dar es Salaam
Kijana Joseph Stanford kutoka Mabatini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa utendaji wake wa kazi ambapo ametembea kutoka Mwanza hadi Dar es salaam kwa muda wa siku 25.

Kijana huyo alianza safari yake jijini Mwanza  Januari, 16 mwaka 2016 saa 10:00 alfajiri na ambapo safari hiyo ameihitimisha jijini Dar es salaam Februari 9, 2016 jioni.

“Matembezi yangu ni ya hiari na lengo la kutembea huku ni kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli juu ya utendaji wake wa kazi anaoufanya na pia kumshukuru kwa kuunda Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo” aliongeza Joseph.

Hata hivyo, kijana Joseph alisema kuwa katika matembezi yake alikumbana na changamoto nyingi ikiwemo ukosefu wa wadhamini katika kufanikisha safari yake ya kumpongeza Rais Magufuli.

Kwa upande wake Wizira wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema kuwa anatambua uwepo wa kijana huyo na amempongeza kwa hatua hiyo ya kishujaa aliyoionesha.

Mbali na hayo, Kijana huyo ameomba kuwezeshwa kukutana na Rais mstaafu Jakaya Kikwete ili kumshukuru kwa kuthamini na kuibua vipaji vya vijana nchini.

Joseph anaumri wa miaka 20 na pia ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2015 katika shule ya Sekondari Mtoni iliyopo jijini Mwanza.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha na Taarifa:Kijana Joseph Stanford kutoka Mabatini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa utendaji wake wa kazi ambapo ametembea kutoka Mwanza hadi Dar es salaam kwa muda wa siku 25.
Picha na Taarifa:Kijana Joseph Stanford kutoka Mabatini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa utendaji wake wa kazi ambapo ametembea kutoka Mwanza hadi Dar es salaam kwa muda wa siku 25.
https://3.bp.blogspot.com/-VcHNNfD4Mx8/VryM-FKDoGI/AAAAAAADe4A/y-JoIjK72K8/s640/e2.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-VcHNNfD4Mx8/VryM-FKDoGI/AAAAAAADe4A/y-JoIjK72K8/s72-c/e2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/picha-na-taarifakijana-joseph-stanford.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/picha-na-taarifakijana-joseph-stanford.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago