Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA KUTOKA IKULU ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU UWEZESHAJI ,USTAWI WA JAMII VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Nd,Hassan Khatibu Hassan baada ya kumuapisha k...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Nd,Hassan Khatibu Hassan baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Hassan Khatib  Hassan leo  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Asha Abdalla baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu  katibu wizara hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA KUTOKA IKULU ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU UWEZESHAJI ,USTAWI WA JAMII VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO.
PICHA KUTOKA IKULU ZANZIBAR:RAIS WA ZANZIBAR AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU UWEZESHAJI ,USTAWI WA JAMII VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO.
https://1.bp.blogspot.com/-66oojSwdMOs/VryP0omsgqI/AAAAAAADe5A/kGbKvdE0uec/s640/DSC_8176.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-66oojSwdMOs/VryP0omsgqI/AAAAAAADe5A/kGbKvdE0uec/s72-c/DSC_8176.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/picha-kutoka-ikulu-zanzibarrais-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/picha-kutoka-ikulu-zanzibarrais-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago